Mta offentlig
[search 0]
Mer
Download the App!
show episodes
 
On The Road with the MTA is a weekly podcast from The Mass Transportation Authority in Flint Michigan. Join us each week as we explore how the MTA is helping our community grow. We are the Flint Mass Transportation Authority... ”Where Transportation Goes, Community Grows!”
  continue reading
 
Artwork

1
Revista MTA | Podcast

Revista MTA

Unsubscribe
Unsubscribe
En gång i månaden
 
Revista MTA es una revista perteneciente al Movimiento Apóstólico Schoenstatt, creada por la Juventud Masculina de Schoenstatt de San Isidro, Argentina. Surge de la necesidad de compartir con el mundo todo eso que nos regala Dios día a día, dentro y fuera del Movimiento. A través del Podcast publicamos diferentes audios relacionados.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Perina Nakang, ni mmoja wa wanariadha 37 wanaounda timu thabiti ya wakimbizi kwenye michezo ya Olimpiki iliyoanza leo Julai 26 huko Paris, Ufaransa. Familia yake ilikimbia Sudan Kusini kwa sababu ya vita yeye akiwa na umri wa miaka 7 na kufika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya. Sasa ana umri wa miaka 21, akikimbia mbio za mita 800 ambapo ka…
  continue reading
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye yuko Paris Ufaransa kuhudhuria ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2024 amezungumza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach na kuipongeza kamati hiyo kwa kuendelea kuwajumuisha wakimbizi wanamichezo. Flora Nd…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ufunguzi wa michezo ya Olimpiki na Jitihada za pamoja za kukabiliana na changamoto za afya ya umma barani Afrika. Makala tutasalia nchini Paris katika michezo ya Olimpiki na mashinani tunasikia mafunzo kushusu ulemavu wa kutosikia. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye yuko Paris Ufaransa kuhudhuria uf…
  continue reading
 
Jitihada za pamoja za kukabiliana na changamoto za afya ya umma zinazidi kuboresha upatikanaji na utoaji wa huduma za afya. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO kanda ya Afrika kwa kushirikiana na nchi wanachama na washirika wake linaendelea kutimiza ajenda yake ya mabadiliko ili kuimarisha mifumo ya afya na kuongeza misaada kwa nch…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia siku ya kimataifa ya kuzuia watu kuzama majini na tunakupeleka nchini Tanzania kufuatilia suala hili. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za Ethiopia, Bangladesh kusini mwa Afrika. Pia tunakuletea ufafanuzi wa msemo “Lakupita lapishwa.”Idadi ya watu Ethiopia waliokufa baada ya matukio…
  continue reading
 
Nchini Tanzania, hususan mkoa wa Singida ulioko katikati kwa taifa hilo la Afrika Mashariki, shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO linaendelea na harakati zake za kuhakikisha taifa hilo la Afrika Mashariki linafanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs, likiwemo lile la kwanza la kutokomeza njaa na la pili la kutokomeza umaskini …
  continue reading
 
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini (UNMISS) umefadhili ujenzi wa madaraja matatu huko Yubu, Turbiwa na Bundri kwenye kaunti ya Tambura jimboni Equitoria Magharibi. Lengo la ujenzi huo kupitia miradi ya matokeo ya haraka au QIPs, ni kurahisisha kurudi nyumbani kwa hiari kwa wakimbizi waliofurushwa makwao.Madaraja hayo ma…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti mpya ya Hali ya Uhakika wa Chakula na Lishe Duniani SOFI, na miundombinu yanayofadhiliwa na UNMISS nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Chad, kulikoni?Takriban watu milioni 733 walikabiliwa na njaa mwaka 2023, hii ikiwa ni sawa na mtu 1 kati ya 11 duniani na mtu mmoja kati y…
  continue reading
 
Takriban watu milioni 733 walikabiliwa na njaa mwaka 2023, hii ikiwa ni sawa na mtu 1 kati ya 11 duniani na mtu mmoja kati ya watano barani Afrika, kulingana na ripoti mpya ya Hali ya Uhakika wa Chakula na Lishe Duniani SOFI, iliyochapishwa leo na mashirika matano ya Umoja wa Mataifa. Ripoti hiyo ya kila mwaka iliyozinduliwa nchini Brazili katika m…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika maoni ya vijana kuhusu SDGs, mmoja wao ni Monicah Malith Mkimbizi nchini Kenya kutoka Sudan Kusini akieleza alichotoka nacho kwenye mkutano wa HLPF. Pia tunakuletea habari kwa ufupi na mashinani.Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imelaani ukimbizi wa mara kwa mara utokanao na am…
  continue reading
 
Kauti ya Samburu Kaskazini mwa Keny ni miongoni mwa maeneo mengi yaliyoathirika na ukame kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Jamii ya Wasamburu kwa kawaida ni wafugaji, baada ya ukame kukatili maisha ya mifugo yao haswa ng’ombe na mbuzi wakazi wengi walipoteza matumaini hadi pale FAO ilipowaletea mradi wa ufugaji wa ngamia kama mbadala wa kuhimili…
  continue reading
 
Je wafahamu kuwa Uganda ndio nchi inayohifadhi idadi kubwa ya wakimbizi barani Afrika? Na sera rafiki za maendeleo za nchi hiyo zinawapa wakimbizi fursa ya kuzalisha chakula chao wenyewe.Mmoja wa wanaofaidi sera hizo ni Jeniffer mkimbizi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC ambaye anaeleza ni muhimu kwa wakimbizi kuzalisha chakula chao w…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya juhudi za kutokomeza ukimwi, na miradi ya WFP kwa wakimbizi nchini Uganda. Makala tunamulika faida ngamia kkwa wafugaji nchini Kenya, na mashinani tunaangazia ziara za Fillipo Grandi nchini Ukraine.Ripoti mpya iliyotolewa leo kwa pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS na muungano w…
  continue reading
 
Ripoti mpya iliyotolewa leo kwa pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS na muungano wa kimataifa wa kutokomeza ukimwi unaojumuisha mashirika mbalimbali, inaonyesha kwamba dunia iko katika wakati muhimu wa kubaini endapo viongozi wa dunia watatimiza ahadi zao za kumaliza janga la ukimwi kama tishio la afya ya umma ifikapo…
  continue reading
 
Makala hii imeangazia hatua ya rais wa Kenya William Ruto ya kuwateua mawaziri wapya baada ya mashinikizo, nchi yake ikishuhudia maandamano ya vijana, Kukamatwa kwa mshukiwa wa mauaji ya watu ambao miili yao ilikutwa jalalani Kware jijini Nairobi akiri kuwaua wanawake 42, rais wa Rwanda Paul Kagame ashinda uchaguzi kwa kishindo, Waasi wa M23 na jes…
  continue reading
 
On the podcast this week is Dawn Ramirez from Little Lamb's Compassionate Ministry Center. Little Lamb's Compassionate Ministry Center (LLCMC) has been providing respite and hope to families in crisis in our community since 2005 when they first opened their doors to the public. For more information on what they do visit their web site by clicking h…
  continue reading
 
Wananchi wa Gaza wakikabiliwa na machungu ya kila namna, kugunduliwa kwa tishio la ugonjwa wa polio unaoambukiza sana unaohusishwa na hali mbaya ya usafi iliyosababishwa na mzozo unaoendelea kumekuwa kama chumvi kwenye kidonda.Katika taarifa aliyoitoa Christian Lindmeier, msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO), akizungumza na …
  continue reading
 
Katika makala hii Anold Kayanda Idhaa hii ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa anazungumza na Monicah Malith mmoja wa vijana waliofika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa kuhudhuria Jukwaa la Kisiasa la Ngazi za Juu la Umoja wa Mataifa (HLPF) mwaka 2024. Monicah Malith aliikimbia nchi yake Sudan Kusini na kuingia Kenya. Kupitia makala hii anaeleza k…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia tishio la polio Gaza, na kauli za chuki zinazoweza kusababisha mauaji ya kimbari na ukosefu wa amani. Makala tunaangazia vijana kutoka Uganda katika mkutano wa HLPF hapa makao makuu, na mashinani tunakupeleka nchini Somalia, kulikoni?Wananchi wa Gaza wakikabiliwa na machungu ya kila namna, kugunduliwa kwa tishio la ugon…
  continue reading
 
Alice Wairimu Nderitu mashauri maalum wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia auaji ya kimbari akizungumza na UN New Kiswahili hivi karibuni na huku akitoa raia kuhusu mauaji hayo na kutaka kila mtu kumakinika na kuchukua hatua.“Ningependa watu wajue kwamba mauaji ya kimbari huwa hayafanyiki bila mpango. Na wenye kupanga huwa wanajua wale watu wanaopanga…
  continue reading
 
Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea -WFP limeonya kwamba amri ya hivi karibuni kabisa ya Jeshi la Israel ya watu kuondoka Gaza imesababisha idadi kubwa zaidi ya watu kutawanywa tangu mwezi Oktoba mwaka jana.-Leo ni siku ya kimtaifa ya Nelson Mandel mwaka huu ikibeba maudhui “Bado ni jukumu letu kutokomeza nja…
  continue reading
 
Wakati wa ziara ya siku nne nchini Haiti hivi karibuni, Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utetezi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuratibu Misaada ya Dharura (OCHA), Edem Wosornu ametembelea maeneo kadhaa ya miradi ya misaada ya kibinadamu na kukutana na jamii zilizoathirika, mamlaka za Haiti, pamoja na washirika wa kitaifa, kimataifa na wa ndani, kuja…
  continue reading
 
Hali ya kibinadamu inaendelea kuwa mbaya Gaza huku leo mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yakiripoti kuendelea kwa mashambulizi yanayokatili maisha ya watu na kuathiri miundombinu ya raia kuanzia kwenye shule hadi vituo vya afya huku maelfu ya watu wakiendelea kukabiliwa na ukosefu wa huduma za msingi ikiwemo afya, makazi, maji na chakula …
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza, na huduma za afya kwa watoto na wanawake nchini Afghanistan. Makala inatupeleka nchini Haiti na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Hali ya kibinadamu inaendelea kuwa mbaya Gaza huku leo mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yakiripoti kuendelea kwa mashambulizi yanayokatili …
  continue reading
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani UNICEF nchini Afghanistan limeweka programu maalum ya mama na watoto inayotolewa na waajiriwa wanawake ambao huwafanyia uchunguzi na kuwatibu watoto wenye utapiamlo na pia kuwafundisha wakina mama namna ya kuandaa chakula chenye lishe bora kwa watoto wao.Video ya UNICEF inaanza kwa kuwaonesha …
  continue reading
 
Jukwaa la kisiasa la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa HLPF, kuhusu malengo ya maendeleo endelevu SDGs linaelekea ukingoni hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa likitarajiwa kukunja jamvi hapo kesho Julai 17. Wawakilishi mbalimbali kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wamekuwa hapa kwa takriban wiki mbili kujadili jinsi ya kusongesha malengo hay…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina kutoka hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo Gerald Geofrey Mweli, Katibu Mkuu kutoka wizara ya kilimo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuotoa mkutano wa HLPF amezungumza na Flora Nducha. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani.Muda unazidi kuyoyoma kwa raia wanaokabiliwa na njaa nchini Sudan…
  continue reading
 
Uwepo wa athari za mabadiliko ya tabianchi yanayosababishwa na shughuli kibinadamu umeendelea kupata ufumbuzi ambapo Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), nchini Tanzania limeratibu kikao kazi cha maandalizi ya kutengeneza Mradi wa maendeleo ya mifumo ya chakula katika nyanda za juu kusini maeneo ya Bonde la Usangu pamoja na visiw…
  continue reading
 
Maafisa wa polisi wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS wametoa mafunzo kwa askari polisi wa nchi hiyo ili waweze kuimarisha ulinzi na usalama wakati huo huo wakiheshimu haki za binadamu. TNchi ya Sudan Kusini inakabiliwa na kuongezeka kwa mfumuko wa bei huku ajira nazo zikiwa ngumu kupatikana hali hizi mbaya zi…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya harakati za chanjo kwa watoto na ulinzi wa amani na usalama inaozingatia haki za binadamu nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Rwanda, kulikoni?Viwango vya chanjo za utotoni ulimwenguni kote vilikwama mwaka 2023 na kuacha watoto milioni 2.7 bila chanjo au kupata kiwango kis…
  continue reading
 
Viwango vya chanjo za utotoni ulimwenguni kote vilikwama mwaka 2023 na kuacha watoto milioni 2.7 bila chanjo au kupata kiwango kisichotosheleza cha chanjo ikilinganishwa na viwango vya kabla ya janga la COVID-19 mwaka 2019, kwa mujibu wa takwimu za ripoti mpya zilizochapishwa leo na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO na Shirika la Umoj…
  continue reading
 
Makala ya yaliyojiri wiki hii imeangazia hatua ya rais wa Kenya William Ruto kulivunja baraza lake la mawaziri, huku inspekta mkuu wa polisi Japhet Koome akubali kujiuzulu, raia nchini Rwanda wajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini Rwanda jumatatu ya julai 15, pia hali ya mapigan yashuhudiwa nchini DRC licha ya wito wa Marekani …
  continue reading
 
Ikiwa ni jana tu Julai 11, ambapo dunia iliadhimisha Siku ya Idadi ya watu duniani ikiwa na mahudhui ya kuangazia umuhimu wa kukusanya takwimu jumuishi kwa kuhesabu kila mtu, kila mahali na jinsi alivyo. Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ya uzazi UNFPA limesisitiza haja ya Sensa ili kuhakikisha usawa na jamii jumuishi duniani.Nchini Tanzania, kam…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia janga la kiafya na misaada ya kibinadamu nchini DRC, na mchakato wa uchaguzi mkuu nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani inaturejesha nchini DRC, kulikoni?Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC iko katikati ya janga la kiafya linaloongezeka limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la afya dun…
  continue reading
 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC iko katikati ya janga la kiafya linaloongezeka limeonya leo shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO na kusisitiza kwamba magonjwa ya milipuko yamezorotesha sana hali nchini humo katika miezi ya hivi karibuni kutokana na ghasia na mafuriko. Kulingana na WHO, DRC imekabiliwa na ongezeko la migogoro na ghas…
  continue reading
 
Wakati nchi ya Sudan Kusini ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wake wa kwanza mwaka huu mwezi Desemba, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umeendesha kongamano la siku tatu la vyama vya siasa katika mji wa Rumbek ili kujadili masuala ambayo ni muhimu katika maandalizi ya uchaguzi huo. Mchakato wa uchaguzi nchini Sudani Kusini unafungama…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayomulika yanayojiri katika Jukwaa la kisiasa la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa HLPF kuhusu malengo ya maendeleo endelevu SDGs, ambapo Anold Kayanda alizungumza na Katibu Mkuu Mhandisi Cyprian John Luhemeja wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zifuatazo..Leo ikiwa…
  continue reading
 
Wananchi katika Kaunti ya Terekeka nchini Sudan Kusini wameeleza kufurahishwa na mafanikio wanayoyapata kutokana na mradi wa miaka mitano wa kuboresha mnepo wa Jamii za Wavuvi (FICREP). Cecily Kariuki na maelezo zaidi.Huyo ni Stelle Clement, mjasiriamali wa mghahawa katika jamii ya Terekeka, Equatoria ya Kati nchini Sudan Kusini. Anasema, “faida ni…
  continue reading
 
Hakuna mwanamke anayepaswa kufa wakati wa kujifungua, ndio maana Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni WHO nchini Tanzania baada ya kushuhudia ongezeko la vifo vya wajawazito kutokana na wajawazito kupata ugumu kuvifikia vituo vya afya ilitafuta fedha ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo miundombinu na kuongeza maarifa kwa wa…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya Uchumi wa kidijitali 2024, na uvuvi nchini Sudan Kusini. Makala inatupeleka nchini Tanzania kumulika afya kwa wajawazito na mashinani nchini Kenya kusikia simulizi ya mwathirika ya mafuriko.Ripoti mpya iliyozinduliwa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD kuhusu “Uchumi wa kidijital…
  continue reading
 
Ripoti mpya iliyozinduliwa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD kuhusu “Uchumi wa kidijitali 2024” imeweka bayana kuhusu athari za kimazingira za sekta ya kimataifa ya kidijitali na mzigo mkubwa wa athari hizo unaobebwa na nchi zinazoendelea. Flora Nducha ameisoma ripoti hiyo na anafafanua zaidiRipoti hiyo iliyozinduli…
  continue reading
 
Hivi karibuni dunia imeadhimisha siku ya Kiswahili duniani ikiwa ni maadhimisho ya tatu, lakini ya kwanza tangu Umoja wa Mataifa utambue Julai 7 kuwa siku ya lugha ya Kiswahili duniani. Kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa maadhimisho yalifanyika Julai 3 maudhui yakiwa nafasi ya elimu ya sanaa katika kueneza na kukuza lugha ya kiswahili. Anold ka…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia ujumbwa wa viongozi katika maadhimisho ya hivi karibuni ya siku ya Kiswahili duniani. Pia tunakuletea muhtasari wa habari zikiwemo za Gaza, Libya na Kusini mwa Afrika. Mashinani inayotupeleka nchini Sudan.Kundi la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa hii leo wamesema ni dhahiri shahiri kuwa baa …
  continue reading
 
Elimu ya Biashara imekuwa na faida kubwa kwa wajasiriamali wadogo wanaojishughulisha na kilimo, ikiwemo wakulima wadogo wadogo, vijana, wanawake, na wasimamizi wa mashamba ya uzalishaji mbegu mkoani Kigoma, kaskazini-magharibi mwa Tanzania. Kwa kutambua hilo, washiriki kutoka wilaya za mkoa huo chini ya Mradi wa Pamoja Kigoma (KJP) awamu ya Pili) w…
  continue reading
 
Nchini Ukraine Jumatatu ya leo Julai 8 imeanza na wimbi jingine la mashambulizi makubwa ya kijeshi yaliyotekelezwa na Urusi na kuua makumi ya watu, hospitali ya watoto ikiwa ni miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa. Flora Nducha ameifuatilia taarifa hiyo. Mashambulizi haya ya leo yaliyotokea wakati watu waliopokuwa ndio kwanza wanaianza siku, yameil…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia mashambulizi makubwa ya kijeshi nchini Ukraine yaliyotekelezwa na Urusi, na miradi ya maji nchini Sudan Kusini. Makala inamulika biashara kwa wakulima, vijana na wanawake, na mashinani inatupeleka nchini Ethiopia, kulikoni?Nchini Ukraine Jumatatu ya leo Julai 8 imeanza na wimbi jingine la mashambulizi makubwa ya kijeshi…
  continue reading
 
Loading …

Snabbguide