Mta offentlig
[search 0]
Mer
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
MTA Podcast

MTA International Germany Studios

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
En gång i månaden
 
Entdecke den MTA Podcast - der dich auf eine spirituelle Reise mitnimmt. Wir bieten dir einen DeepTalk der besonderen Art - ungefiltert und ehrlich. Mit unserem Format möchten wir dir helfen, deine spirituelle Entwicklung voranzutreiben.Unsere Episoden sind gefüllt mit spannenden Geschichten und Portraits von Muslimen aus Deutschland. Abonniere jetzt den Kanal und sei bei jeder neuen Episode dabei!
  continue reading
 
On The Road with the MTA is a weekly podcast from The Mass Transportation Authority in Flint Michigan. Join us each week as we explore how the MTA is helping our community grow. We are the Flint Mass Transportation Authority... ”Where Transportation Goes, Community Grows!”
  continue reading
 
Artwork

1
Risto Za Mtaa

Troon Omondi

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
En gång i månaden
 
True stories with a little twist, lots of lessons and something new that you never knew. Mostly narrated in swahili, sheng' and a little english. Enjoy.
  continue reading
 
Artwork

1
Revista MTA | Podcast

Revista MTA

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
En gång i månaden
 
Revista MTA es una revista perteneciente al Movimiento Apóstólico Schoenstatt, creada por la Juventud Masculina de Schoenstatt de San Isidro, Argentina. Surge de la necesidad de compartir con el mundo todo eso que nos regala Dios día a día, dentro y fuera del Movimiento. A través del Podcast publicamos diferentes audios relacionados.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
In studio this week with Stephanie K and Jay is Abby Raguckas and Shelly Hoffman from the Shelter of Flint. The Coldest Night of the Year is a winterrific family-friendly fundraising walk in support of local charities. This event happens on February 22nd. If you would like to learn more and register for the walk, visit their website by clicking her…
  continue reading
 
In dieser Folge MTA Podcast ist wieder Muhammad Hammad Härter zu Gast. Anknüpfend an das letzte Gespräch, sprechen wir diesmal über den Glauben im Alltag und warum das Kalifat der Ahmadiyya Muslim Jamaat doch den Unterschied zu allen anderen macht. 🎧 Hören Sie den MTA Podcast jetzt hier: Spotify: https://open.spotify.com/show/3vOYqjm... Apple Podca…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Uganda kumulika ni kwa nini Uganda imekivalia njuga Kiswahili akieleza mwandishi wetu wa Uganda John Kibego ambaye amezungumza na mwandaaji mwenza wa kongamano hilo Dkt. Kisembo Ronex Tendo, Mkurugenzi wa shirika la Afrika Mashariki Fest.Umoja wa Mataifa na wadau wanasalia na wasiwasi …
  continue reading
 
Huko Mashariki ya Kati Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Dharura, OCHA Tom Fletcher alifanya ziara ya siku tatu huko Ukingo wa Magharibi na Gaza ili kujionea hali halisi ya raia. Katika Sharon Jebichii amefuatilia ziara yake na kutuandalia makala hii..Av Sharon Jebichii
  continue reading
 
Katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, kutokana na ufadhili wa shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), kundi la vijana wanajishughulisha na ufugaji wa wadudu nyenje (Crickets) ili kukabiliana na changamoto ya utapiamlo miongoni mwa watoto wachanga. Anold Kayanda na maelezo zaidi.…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya wahamiaji na wakimbizi nchini Libya, na wakimbizi wajasiriamali katika makazi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya. Makala inatupeleka Jerusalemu Mashariki, na mashinani nchini Chad, kulikoni?Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM, limeeleza mshtuko mkubwa na wasiwasi wake kufuatia kugunduliwa kwa makaburi …
  continue reading
 
Kwa sehemu kubwa makala ya mtazamo wako imeangazia kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na mkutano wa pamoja kati ya jumuia ya Afrika mashariki EAC na jumuia ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC kutafuta suluhu ya kudumu ya mzozo wa mashariki mwa DRC, huko Gabon upinzani umemtaka kiongozi wa mpito kuweka wazi msimamo wake kuhu…
  continue reading
 
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza la Haki za Binadamu kinachofanyika jijini Geneva, Uswisi, ameonya kuwa ghasia zinazoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaweza kuwa mbaya zaidi ikiwa hazitashughulikiwa. Flora Nducha na taarifa zaidi.…
  continue reading
 
Leo katika makala Hamad Rashid wa Redio washirika KidsTime FM ya mkoani Morogoro Tanzania aanaangazia kuhusu namna Tanzania inaendelea kufanikisha Lengo Namba 16 la Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa linatilia mkazo upatikanaji wa amani, haki na taasisi imara kwa kupunguza mrundikano wa mashauri au kesi mahakamani, kuwezesha upatikanaji wa haki…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya kidemokasia ya Congo DRC, Na masuala ya afya nchini Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville. Makala inatupeleka nchini Tanzania, na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza …
  continue reading
 
Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na nzi mweusi wanaozaliana kwenye mito na vijito, ugonjwa ambao uliathiri shughuli zao za kijamii na kiuchumi kutokana na muwasho wa kila mara na upofu. As…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwakina inayotupeleka Havan Cuba ambapo mmoja wa walumbi wa lugha ya Kiswahili Jorum Nkumbi, ambaye pia ni mwandishi wa vitabu anayetumia sanaa ya uandishi wa vitabu kuitangaza lugha mama yake ya Kiswahili amezindua kitabu kipya hivi karibuni wakati wa kongamano la kimataifa la Kiswahili. Mengine tuliyokuandalia ni…
  continue reading
 
Kutana na Mwamini Sebororo mmoja wa mamilioni ya raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC waliopoteza makazi yao na kila kitu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki ya taifa hilo huku mgogoro ukiendelea kufurusha watu zaidi. Kuendelea kuzorota kwa hali ya kibinadamu imekuwa mtihani mkubwa kwa wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi. Kupiti…
  continue reading
 
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa,(OHCHR) imesisitiza haja ya kusonga mbele kuelekea awamu inayofuata ya usitishaji mapigano huko Gaza, kuachiliwa kwa mateka na wafungwa wote waliokamatwa kiholela, kukomesha vita na kujenga upya Gaza, kwa kuheshimu kikamilifu sheria ya kimataifa ya kibinadamu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya usalama Goma DRC, na masuala ya haki za binadamu. Makala na mashinani inaturejesha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kufuatilia simulizi za wakimbizi wa ndani.Maisha yanarejea katika hali ya kawaida huko Goma baada ya siku kadhaa za mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (FARDC) na…
  continue reading
 
Maisha yanarejea katika hali ya kawaida huko Goma baada ya siku kadhaa za mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (FARDC) na waasi wa M23 mashariki mwa. Mwandishi wetu wa habari jimboni Kivu Kaskazini amesema kwamba shughuli zinaanza tena katika mji wa ziwa la Kivu, Goma, wakati M23 imechukua wilaya nyingi za mji mkuu wa Jimbo h…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kushuhudia sintofahamu na maombi ya wakazi wa Goma baada ya waasi wa M23 kutwaa mji huo. Mashinani tunakwenda Somalia na pia tunakuletea muhutasari wa habari.Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Co…
  continue reading
 
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo linasema takriban wakimbizi 18,000 waliokimbia vita Sudan hivi sasa wanaishi katika kambi ya wakimbizi ya Korsi katika eneo la Birao, jimbo la Vakaga Kat…
  continue reading
 
Ikiwa ni wiki moja sasa tangu waasi wa M23 watangaze kutwaa Goma, jimboni Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, na kisha serikali kutangaza Beni kuwa mji mkuu wa sasa wa jimbo hilo, hii leo Jumatatu Februari 3, maandamano makubwa ya amani yamefanyika mjini Beni, yakiongozwa na mashirika ya kiraia na wananchi. Taarifa …
  continue reading
 
Ikiwa kesho Februari 4 ni Siku ya Kimataifa ya Udugu wa Kibinadamu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres,kupitia ujumbe mahususi kwa ajili ya siku hii ametoa wito wa kuimarisha umoja, usawa, na kuheshimiana katika kipindi hiki cha ongezeko la ubaguzi na kutovumiliana duniani. Anold Kayanda na maelezo zaidi.…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko nchini Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo DRC, na ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN kuhusu Siku ya Kimataifa ya Udugu wa Kibinadamu. Makala inatupeleka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR na mashinani tunarejea DRC, kulikoni?Ikiwa ni wiki moja sasa tangu waasi wa M23 watangaze kutwaa Goma, jimboni Kivu Kaskazini, mas…
  continue reading
 
Makala ya yaliyojiri wiki hii kwa sehemu kubwa imejikita katika kudadavua hali yausalama wa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambako tangu mwanzo wa juma hili kulishuhudiwa mapigano makali kati ya jeshi la Nchi hiyo na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda kwenye mji wa Goma, lakini pia siasa za mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania na maen…
  continue reading
 
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameendelea kutoa wito wa kurejeshwa kwa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo (DRC) kwani hali inazidi kuwa tete na kuuzidi uwezo wa mashirika hayo kusaidia. Selina Jerobon amefuatilia matamko ya mashirika hayo na kutuandalia taarifa ifuatayo. Janga la haki za binadamu katika eneo la mashariki mwa Jamhur…
  continue reading
 
Senegal, taifa lenye watu zaidi ya milioni 18.5 liko kwenye mwelekeo wa kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya umeme. Benki ya Dunia inasema kiwango cha kupata umeme kwenye taifa hilo sasa ni asilimia 84. Wakati huu ambapo asilimia zaidi ya 30 ya jamii za vijijini hazina huduma hiyo, serikali kwa kushirikiana na wadau kama vile Benki ya Dunia…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na tutakuletea simulizi ya wakimbizi wa ndani nchini humo. Makala inatupeleka nchini Senegal na mashinani nchini Afghanistan, kulikoni?Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameendelea kutoa wito wa kurejeshwa kwa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo (DRC) k…
  continue reading
 
Kutana na mkimbizi Masimango Mango kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ambaye kwa sasa anaishi kwenye makazi ya wakimbizi wa ndani ya Lushagara Goma jimboni Kivu Kaskazini Mashariki mwa DRC, anasema kwa hakika vita imemchosha na anacholilia ni amani ili arejee nyumbani na familiia yake. Flora Nducha na taarifa zaidi.…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mad akwa kina inayotupeleka nchini Tanzania ambapo Chuo cha ulinzi wa amani kwa kushirikiana na wataalamu kutoka ‘UNITA’ na Idara ya Umoja wa Mataifa ya Operesheni za Ulinzi waliandaa mpango wa ufundishaji kuhusu ulinzi wa amani, Brigedia Jenerali George Itang’are ambaye Mkuu wa chuo hicho anaelezaIkiwa leo ndio siku am…
  continue reading
 
Karibu nusu ya idadi ya watu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanategemea misitu kwa chakula, nishati, afya, riziki na huduma za mfumo wa ikolojia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP ambao ni takriban watu zaidi ya milioni 40. Kwa kulitambua hilo mradi wa Umoja wa Mataifa wa kulinda bayoanuai huku ukipambana na u…
  continue reading
 
Baada ya Serikali ya Marekani kutoa tangazo jipya sasa kwamba itaendelea kufadhili huduma zinazolenga vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na VVU na Ukimwi (UNAIDS) limeeleza kuupokea uamuzi huo kwa furaha na kuuita wa kuokoa maisha. Selina Jerobon na maelezo zaidi.…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tuanaangazia masuala ya ufadhili wa huduma za afya, na kilimo cha cacao nchini Liberia. Makala inatupeleka nchini DRC na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Baada ya Serikali ya Marekani kutoa tangazo jipya sasa kwamba itaendelea kufadhili huduma zinazolenga vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), shirika la Umoja wa Mataifa la kukabil…
  continue reading
 
Kilimo bora cha kakao huko Liberia kimemwondolea uchovu na kukosa kulala, mkazi wa kaunti ya Nimba, kaskazini mashariki mwa Liberia, baada ya mradi wa mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD nchini humo kumwezesha sio tu kugeukia kilimo, bali pia kuajiri vijana wengine na hivyo kufanikisha lengo la Umoja wa Mataifa la kuondokana na u…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kushuhudia matumizi ya nishati safi na ya gharama nafuu kupika mlo shuleni jijini Nairobi linaloofanikishwa na Shirika la Food4Education. Pia tunakuletea habari kwa ufupi na mashinani inatupeleka Ethiopia.Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema hali ya usalama mjini Goma, jimboni …
  continue reading
 
Katika makala ya leo Anold Kayanda anatupeleka nchini Tanzania ambako katika kuhamasisha elimu iliyo salama inayolenga kumlea na kumfundisha mtoto kwa njia chanya zisizoumiza, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, (UNICEF) linamuangazia Mwalimu Magesa Stanslaus ambaye amebadilika kutoka katika matumizi ya viboko na sasa anatumia motisha …
  continue reading
 
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, MONUSCO kwa kushirikiana na polisi wa kitaifa wa nchi hiyo PNC wameongeza doria katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushagara jimboni Kivu Kaskazini kufuatia ongezeko la vitisho na mashambulizi ya kundi la wapiganaji wa M23. Flora Nducha na taarifa zaidi…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko nchini DRC yanosababishwa na kundi la waasi la M23 mjini Goma. Makala tunakupeleka nchini Tanzania na mashinani ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kukumbuka waathiriwa wa mauaji ya halaiki tutasikia ujumbe wa Umoja wa Mataifa.Hali ya usalama kwenye mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, Goma, mashariki mwa Jamhur…
  continue reading
 
Hali ya usalama kwenye mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ikiendelea kuwa tete, ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani, nchini humo, MONUSCO pamoja na SAMIDRC ambao ni ujumbe wa kulinda amani kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC wanadhibiti uwanja wa ndege wa…
  continue reading
 
Kuapishwa kwa Donald Trump kama rais wa 47 wa Marekani, Mkutano wa kimataifa kuhusu uchumi huko Davos, Hali ya kibinadamu kuendelea kuzorota mashariki mwa DRC, Tundu Lissu ateuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama cha Upinzani cha Chadema kule Tanzania, tutaangazia Sisa za Kenya, Sudan na maeneo Ya Afrika magharibi pia kwengineko duniani.…
  continue reading
 
Akili Mnemba au AI inakuja kwa kasi kubwa sana na kubadilisha mwenendo wa walimu na wanafunzi darasani. Inaleta fursa za kipekee kama kufundisha kwa njia ya kibinafsi na upangaji wa masomo wenye ufanisi zaidi. Lakini pamoja na zana hizi, changamoto zimeibuka: kutegemea sana teknolojia hii, masuala ya kimaadili, na kupungua kwa ujuzi wa kusoma kwa k…
  continue reading
 
Katika siku ya Elimu duniani kutana na Suhaila msichana mkimbizi kutoka Afghanistan ambaye kupitia mpango wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR wa kuwahamishia wakimbizi katika nchi ya tatu aliwasili Jamhuri ya Kyrgyzstan ambako sio tu alipata maskani ya kudumu na wazazi wake bali pia matumaini na elimu iliyompa ari ya kurejes…
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko nchini DRC, na katika elimu tunamsikia msichana wa Afghanistan ambaye ni mnufaika wa ufadhili wa Umoja wa Mataifa. Makala inatupeleka nchini Oaris kumulika matumizi ya AI katika elimu na mashinani tunakwenda nchini Sudan.Mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo yameonya kwamba kuongezeka kwa uhasama kwenye viunga…
  continue reading
 
Mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo yameonya kwamba kuongezeka kwa uhasama kwenye viunga vya mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunakohusisha kundi lisilo la kiserikali linalojihami kwa silaha, M23 kumesababisha watu wengi zaidi kuhama katika eneo hilo lenye utajiri wa madini, huku kukiwa na hofu kwamba mji mkuu wa e…
  continue reading
 
This week in the studio with Stephanie K and Jay is Karen Gasperosky from Sleep In Heavenly Peace in Flushing. The Building Heavenly Bed event is coming up Saturday February 15th. To learn more about this event and how you can help out visit their website by clicking here.Av Flint MTA
  continue reading
 
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini DRC kumulika mausala ya AI kwenye elimu tukielekea siku ya kimataifa ya elimu inayoangazia matumizi ya AI na changamoto zake. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ufafanuzi wa methali.Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO, u…
  continue reading
 
Katika jimbo la Kandahar nchini Afghanistan Noor Ahmen mkulima wa ngano amenufaika na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO unaotoa mafunzo ya kilimo, kugawa mbegu na pembejeo kwa wakulima. Mradi huu ambao unafadhiliwa pia na Benk ya Dunia umezisaidia familia nyingi za wakulima sio tu kuinua kipato bali pia kuboresha lishe n…
  continue reading
 
Nchini Liberia, mradi unaotekelezwa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umejengea uwezo watu wenye ulemavu wa kuona na kuwawezesha kuongeza vipato na vile vile uhakika wa kupata chakula. Simulizi ya Sabrina Moshi wa redio washirika SAUT FM mkoani Mwanza nchini Tanzania, inaelezea zaidi.Tuko kaunti ya Lofa, kaskazini kabisa mwa…
  continue reading
 
Loading …

Snabbguide

Lyssna på det här programmet medan du utforskar
Spela